1. Aina ya uwakala
Chagua aina moja. Gusa kifuniko kuona vigezo.
Wakala wa Bidhaa
Uza bidhaa zilizozalishwa na Werlmat pekee
Wakala wa Mauzo
Bidhaa za muhimu kwa maduka ya rejareja
Wakala wa Usambazaji
Jumla, msambazaji na msimamizi wa huduma
Wakala wa Bidhaa
Kuwa wakala wa bidhaa inakupa nafasi ya kuuza bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Werlmat pekee.
Vigezo
- Unapaswa kuwa raia wa Tanzania, na kuwa na biashara inayotambulika na mamlaka ya usimamizi wa biashara.
- Biashara yako inapaswa kukidhi vigezo vya utoaji huduma zilizotolewa na Werlmat.
Wakala wa Mauzo
Hii inakuwezesha kupata bidhaa zote za muhimu kwa mauzo katika maduka ya rejareja.
Vigezo
- Unapaswa kuwa mkazi halali unaetambulika kuanzia ngazi ya serikali ya mtaa.
- Unapaswa kuwa na mtaji wa awali wa kufungua biashara na eneo linalofikika.
Wakala wa Usambazaji
Kwa wauzaji wa jumla: utapata bidhaa zote na kuwa msambazaji na msimamizi wa huduma zetu.
Vigezo
- Unapaswa kuwa mkazi halali.
- Kuwa na nyaraka zote muhimu za uendeshaji wa biashara.
- Biashara yako iwe imeendeshwa kwa zaidi ya miezi nane.